Friday, March 21, 2014

PICHA NA MATUKIO KIKAO CHA MWAKA WAFANYAKAZI WA UCC 21/3/2014

Mkutano  wa mwaka  wa wafanyakazi wa  UCC   umefanyika katika  ukumbi   B106  UDBS  - UDSM  na  kuhudhuriwa  na  wafanyakazi  toka matawi ya Dar  na  wawakilishi toka mikoani .


Mwenyekiti  wa  kikao  ambaye    ni  Mkurugenzi mtendaji wa  UCC  Dr Ulingeta Mbamba  (katikati)  akiendesha  mkutano , kulia  ni  Meneja   Rasilimali  watu  wa  UCC  Mr  Obeid  Mwangwa na  kushoto  ni  kaimu  Mhasibu  mkuu  wa  UCC  Mr  Anold  Matanda.

Sehemu  ya   wawakilishi  toka  mikoani  Mr Leo meneja  wa  Mwanza , Mr Shomary toka  tawi  la  Dodoma, Mr Mishita  toka  Arusha  na  Ms Bumi Musese  meneja  wa  idara  ya mafunzo  tawi  la makao makuu.

  Watunza  kumbukumbu  wa kikao   Mr  Charles    Mbwana  na  Mr   Elvin  Kamugisha  (Mswati)  wakienda   sawa    na  kikao  kuchukua  kila  kilichokuwa  kikijadiliwa  katika  kikao  hicho.


KWA  PICHA  ZAIDI  BONYEZA  HAPA
http://ucctznews.blogspot.com/p/blog-page_7246.html

No comments:

Post a Comment