Monday, July 14, 2014

Daniel Alex aikimbia kambi ya makapera rasmi - Shukrani kwa Mungu.

Mr & Mrs   Alex   Daniel  Alex.

Alex  akiwa  na  mkewe  baada  ya  ndoa

   Mpambe  wa  Bwana  Harusi  Ndg  Rocha akienda  sawa  na  Bw' harusi
  Hapa  sasa   ni  kiapo chas  utii  wa  ndoa  Mchungaji   kiongozi  wa  Kanisa la  FPCT  mjini  Mwanza   kati  Mch  Dr Elias Simon  Ihano Ndanje  akisimamia  zoezi la  kutia  saini  hati  ya  ndoa  huku  wasimamizi   Mr & Mrs  Robert  Charles  Lyimo  wakiangalia  kwa umakini sana., Bi  Harusi  naye  kadhalika anatizama  kwa  umakini mkubwa.

Kwa  niaba  ya  mtandao  huu  Tunawatakia Kheri  na  mafanikio  makubwa katika  safari  hii ya maisha  ya   ndoa -  Hongereni   Dany  na  Penina.

kwa  picha  zaidi   tembelea
 http://mcchristina.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment