Saturday, August 16, 2014

WARSHA YA MAFUNZO YA TEHAMA (ICT) KWA WALIMU WA SEKONDARI DSM YAFANYIKA UCC- HQ

 Mkurugenzi   mtendaji  wa Ucc    Dr  Ulingeta  O.  Mbamba (aliyesimama)   akifunga  warsha  hiyo  iliyofanyika  kwa mafanikio makubwa  na  kuhudhuriwa na  washiriki   zaidi  ya  50   kutoka  katika  shule  za  sekondari  mkoani   Dar es  Salaam, pichani  pembeni  ni  mkuu  wa   mafunzo  Dr  Geofrey  Karokola.
   Sehemu   ya  washiki  wa  warsha  hiyo  wakiwa na   uongozi  na  baaadhi  ya  wafanyakazi  wa  UCC.
Sehemu   ya  washiki  wa  warsha  hiyo  wakiwa na   uongozi  na  baaadhi  ya  wafanyakazi  wa  UCC.

No comments:

Post a Comment