Friday, January 23, 2015

NYUMBA INAUZWA MBEZI-MAKABE MSUMI

Nyumba inauzwa ipo Mbezi Makabe Msumi "A" kutoka Mbezi Mwisho Stand mpaka Site ni kilomita 8   sehemu ni nzuri ina eneo kubwa (ukubwa ni 30 kwa 25

- Ina vyumba vinne kimoja master
- Jiko kubwa
- Public toilet
- Dinning Room
 - Iko katika eneo zuri sana,yaani tulivu na nyumba za hapa zimejengwa kwa nafasi kama ambavyo unaweza kuona kwenye picha .

  
Wasiliana nasi kwa number  0718169877.










No comments:

Post a Comment