BLOGGER DANIEL AKABIDHIWA JIKO - SEND OFF PARTY
Daniel na mpambe wake Robert Charles (LYIMO) wakienda sawa katika usiku maalumu wa Penina aka Peny.
Penina na matron wake haooo wakiingia ukumbini
Keki maalumu kwa usiku maalum wa Peny.
Kama kawa kama dawa keki kwa wazee wa kaya.
Wadau nao hawakukosa kuanzia kushoto ni Leo Peter Magomba staff wa TTCL HQ, Dada wa mtarajiwa bwana (H) Ema Nchambi aka Dyne, na mwishoni ni MUTU YA KILO , MUTU YA WATU ,Mwenyetiki mteule , Mpiganaji Peter Matare Gwesso akienda sawa na tukio
Duuu Zawadi nazo kama kawaida......
La hiii ni ya kwako Baba , Naam !!!
hongera saba Mr. Danile..mungu aende kuwabariki katika ndoa yenu...!
ReplyDelete