MKUTANO WA 24 WA WAFANYAKAZI WA UCC TAREHE 21/3/2014
==============================================================
================================================================= KIKAO CHA 23 KILICHOFANYIKA TAMAL HOTEL MAY 2013 |
Mandela Hall - Tamal Hotel & Conference Center |
Toka Kulia ni Mr Muze, Mr obeid, Mrs Saida na Ofisa toka idara ya Masoko . |
Sehemu ya Wafanyakazi wakisikiliza na kufuatilia mkutano .
Kiota hiki kina Viti vya kisasa, shuhudia mwenyewe.
Ile kasumba ya Wanafunzi madarasni kutokupenda kukaa mbele ilijitokeza pia katika mkutano huu , shuhudia viti vya mbele vikiwa wazi, HADI INAMPA SHIDA MPIGAPICHA KUPATA PICHA YA UKWELI.
Makatibu wakienda sawa na kikao , Mr Charles na Mr Elvin.
VITI pia ni sehemu ya raha ya kikao , Aliyeshika Mic ni Mwenyekiti wa Chama cha Kufa na kuzikana Mrs Kighenda akitoa taarifa ya chama.
HR Mr Mwangwa akitoa taarifa.
Mr Chals man of SMILE akichukua minutes za kikao, pembeni nyuma ni Mrs ' BONGE ' Maryam Jumbe.
Mr Daniel Methusela makamu mwenyekiti wa Ucc Saccos (KIMBILIO LA MTAJI) akitoa taarifa nzuri ya chama na kutoa tamko rasmi la kukaribisha wanachama wapya wajiunge maana MAPESA yanawasubiri.
Wakuu wa idara na matawi , kuanzia kushoto ni Mr Leo (Mwanza), Mr Shomary( DODOMA), Miss Bumi (Training HQ), Mrs Erick ( City Branch), Mr Karokola (Mbezi Beach) na Mrs Florence Masebo ( Tawi la Arusha)
Mrs Erick Makoye ( FAITH SHAYO ) mkuu wa tawi la mjini kati akichangia hoja .
Mkuu wa tawi la Dodoma Mr Shomary akichangia hoja. |
MPIGANAJI Mr. PETER MATARE GWESSO akitema CHECHE aka SINDANO ZA MOTO.
Gwesoo akifunguka ....
Kutoka kushoto Mr Shomary toka Dodoma, Mr Baraka Tonya City Branch, Mr Leo Renatus toka Mwanza, Mr Audax Mujuni toka Mbezi Beach, na Ze Blogger toka City Branch.
Mrs Liwa na Mrs Diana Akyoo wakijiweka sawa kabla ya kikao.
Du Meneja wa Arusha kama anataka kusema jambo vile , hapa ilikuwa kabla ya mkutano.
Wadau wakipozi kabla ya mkutano.
Grace , Nsanganiye, Japhet na Mac Donald.
Mr Baraka na show ya MIKONOZ.
No comments:
Post a Comment