Katibu wa Saccos Ndg: Ali Juma akifafanua jambo mkutanoni.
Meza kuu ikifuatilia taarifa mbalimbali mkutanoni kwa umakini.
Sehemu ya Wanachama mkutanoni.
Duu Wadau wa Saccos wakiwa makini kufuatilia maelezo toka kwa viongozi.
Sehemu ya wanachama wakifuatilia agenda mkutanoni.
Ukizungumzia Saccos hapa unazungumzia kuhusu pesa na wana saccos tuna msemo tunasema " Pamoja Tunajenga Uchumi" tizama mwanachama akihakiki tarakimu za taarifa ya pesa kwa ukaribu zaidi.
Kikao kikiwa kinaendelea....
Sehemu ya meza kuu ( viongozi na wageni waalikwa ) wakijadili na kutoa ufafanuzi wa hoja za wanachama.
Sehemeu ya wanachama wakifuatilia hoja mkutanoni.
Kama kawaida ya mikutano ya Saccos Vinywaji ni sehemu ya mkutano.
Blogger naye akifuatilia mkutano.
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mjumbe wa bodi wakiomba nafasi ya kuchaguliwa toka kwa wanachama.
Gideon akiomba kura ya nafasi ya ujumbe wa bodi, kura hazikutosha kumwezesha kupata nafasi hiyo, Kaka usikate tamaa jaribu tena wakati mwingine. |
Mzee Edson Kisabo akiomba kura , Mzee anajieleza huyu , baadaye nafasi akaipata , Hongera Mzee kwa nafasi ujumbe wa Bodi.
Duuu " Ku- sign " ni raha Mdau Rasul kama vile anasema maneno hayo.
NAPE akipokea bahasha ya kaki.
Blogger naye akichukua kilicho chake...... weekend lainiiiii .....
Urassa, Muze na Gwesso wakijadili jambo baada ya kikao.
Kura zikihesabiwa....
Ofisa toka ofisi ya mrajisi wa vyama vya ushirika wilaya ya Kinondoni Ndg: Omary Mkamba (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo ya namna uchaguzi utakavyoendeshwa wengine ni Prudence Ongera (ambaye alifanikiwa kunyakua nafasi ya uenyekiti kwa kupata kura 30 kati ya 31 zilizopigwa (na kuna fununu kuwa hiyo moja ilitoka kwake,hivyo ikionyesha jinsi wanachama walivyo na imani na mwenyekiti huyo mpya), Mzee Mhango, Ally Juma ( Nape), Kissiva na Mzee Kisabo.
No comments:
Post a Comment