Sunday, November 10, 2013

MR PETER KABIGI WA TAWI LA MBEZI AUAGA RASMI UKAPERA.


Mr  Peter  Kabigi akiwa  na  mkewe   Sifa  S  Sizya    pamoja  na  wapambe  wao   katika    kusherehekea  ndoa  ya  iliyofungwa   katika  kanisa  la  TAG  Victory Christian Centre  Mbezi  Kawe na  kufuatiwa  na  tafrija  katika  ukumbi  wa    Kuringe  Social  Hall   , Makonde .
Maharusi     wakiwa  na  baadhi  ya  wafanyakazi  wa  UCC.
  Hapa   Bibi  na  Bwana  harusi  wakiingia  kwa  style  ya    aina  yake  ukumbini huku  wakisindikizwa  na  wimbo  maarufu  sana  wa  Msanii  wa  nyimbo  za  injili    Upendo Nkone   " Niacheni  niimbe ,niacheni  nicheze Bwana  YESU  amejibu  maombi yangu" .

Picha   zaidi    BOFYA

No comments:

Post a Comment