Pembeni ni DMD Mr Isaack Kambira na Meneja rasilimali watu Mr Obeid Mwangwa.
Wajumbe wa mkutano wakifuatilia mkutano kwa umakini, Mr Dogan Gusera Maige , Mr Ally Juma ( NAPE) na kwa mbali anayetabasamu ni Mr Siliack ( Baba Jesca)
Sehemu ya wajumbe wa kikao mbele kabisa ni Meneja wa Tawi la Mbezi Mr Antony Kalokola , Meneja wa Tawi la Dodoma Mr Shomary Mang'ando na Meneja wa Tawi la HQ Ms Bumi na kwa Mbali ni Meneja wa tawi Mjini Mrs Faith Makoye .
Dr. Mbamba akifunga mkutano na kusisitiza juu ya ushirikiano na uwajibikaji kwa wafanyakazi na menejimenti mpya kuhakikisha UCC inasonga mbele , zaidi akasisitiza " kutokuhukumu mtu kwa yaliyopita ila kwa ya sasa na yajayo" .
Pichani ni mpiganaji kutoka City Branch Mr Peter Matare GWESSO, Ms Amina Mohamed , Mrs Teddy Bana na aliyejishika kichwa ni Mrs Dorothy Mbonika.
Dr Geofrey Kalokola akifuatilia kikao kwa umakini pembeni yake ni Ag: Chief Accountant Mr Anold.
KWA PICHA ZAIDI TEMBELEA HAPA >>>>
BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment